Used Maombi - Pr. David Mmbaga for Android?


Developer’s Description

Maombi Ni program ambayo imekusudiwa kukupa baraka zinazopatikana kwa njia ya maombi.

Maombi

Ni program ambayo imekusudiwa kukupa baraka zinazopatikana kwa njia ya maombi.

Hapa utaweza kuombewa na kushiriki kuwaombea wengine.

Utaona shuhuda za kutia moyo

Pia ndani yake kuna huduma zifuatazo:-

1. Ndoa na Mahusiano

2. Maisha ya Ushindi

3. Siri za Biblia

4. Nukuu za Maisha

5. Nyimbo za Dini

Pia Programu inakupa dondoo za Afya.

Karibu na Shiriki pamoja nasi Kuomba.


Used Maombi - Pr. David Mmbaga for Android?


Explore More


Download.com
Your review for Maombi - Pr. David Mmbaga