Used Tenzi za Rohoni for Android?
Developer’s Description
App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili na tenzi za rohini mpya 2019 kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.
App hii ina nyimbo za dini 161 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni toleo jipya. Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za dini, unaweza kusoma na kusikiliza ala (audio) za nyimbo za injili bila kuwa na intaneti (Offline)
Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.
Wakolosai 3:16
FEATURES
Tenzi za Rohoni 161 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini.
Ala za tenzi bila intaneti (Offline)
Pata tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya tenzi.
Tafuta neno lolote kwenye tenzi zote
Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za dini uzipendazo
Kuongeza ukubwa wa maandishi katika tenzi za rohoni mpya
Kuchagua aina ya fonti za aya
Kupanga orodha ya tenzi au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti
Used Tenzi za Rohoni for Android?
Explore More
SideBooks - PDF&Comic viewer
FreeVietnamese Dictionary - Dict Box
FreeMDict
Free
Acura iManual
Free
Aramaic New Testament
PaidTap - Chat Stories by Wattpad
FreeFree Crafting guide for Minecraft - Offline 1.14
Free
New BOTIM Free HD Video & Voice Calls Stickers
Free
Buddha Quotes
Free
Connect Bible
FreeComputer Science
FreeFullReader+ - free
Free