Sign in to add and modify your software
By joining Download.com, you agree to our Terms of Use and acknowledge the data practices in our Privacy Policy.
Cheka Point ni mtandao wa kijamii ambao unahusisha Video Fupi pamoja na Picha za Vichekesho. Kupitia mtandao huu mtumiaji anaweza kupakua au kuweka video au picha za Vichekesho na moja kwa moja unaweza kupata Point ambazo baadae anaweza kuzibadilisha na kuwa Pesa Taslimi .
Kupitia Mtandao wa Cheka Point unaweza kuweka Video zote za Vichekesho pamoja na kuelimisha, pia unaweza kupakua video yoyote ile unayo ipenda au unaweza kushirikia na wenzako kupitia kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kama Instagram, Facebook, WhatsApp Status na mitandao mingine.
Mengine Cheka Point
Utaweza kutengeneza akaunti yenye wasifu wako ambapo ndio utatumia kuweza kupata Cheka Point.
Utaweza kufollow akaunti ya mtu yoyote ambaye unapenda vichekesho vyake
Utaweza kuweka Video za kuchekesha, picha za vichekesho na pia unaweza kuweka vichekesho kwa kuandika kwa maandishi.
Utaweza Kutoa Maoni kwenye Video au picha yoyote
Utaweza kutafuta video za kuchekesha kwa maneno au jina la mtu
Utaweza kuweka reaction kwenye picha au video yoyote ya kuchekesha
Na mambo mengine mengi.....
Bado tunaendelea kuboresha app ya Cheka Point hivyo hakikisha unapakuwa app hii kisha toa maoni yako ili tuweze kuboresha zaidi.