Used Wasafi TV | Video & Music for Android?
Developer’s Description
Wasafi TV Live & WCB Wasafi Fans App | Tazama kila kitu cha Wasafi kupitia app hii. Tunakusogezea vitu vyote muhimu na exclusive kutoka Wasafi kuanzia Wasafi Records mpaka Wasafi Radio na TV.
Tazama shows, interviews, tours, video lyrics, life style, behind the scene na kusikiliza music pia kwenye app hii. Na tazama vipindi vya Wasafi TV kila siku.
Usipitwe na update, Kua wa kwanza kupata habari za wasanii wa WCB Wasafi kila zinapotoka.
- Diamond Platnumz
- Rich Mavoko
- Queen Darleen
- Rayvanny
- Harmonize
- Lavalava
- Mbosso Khan
- RJ The DJ
Programu hii haiweki nyimbo za kupakua zinazokiuka haki miliki. Pakua programu hii kwa bure uweze kusikiliza miziki na kutazama video kwa kutumia internet.
Kanusho
Hii ni programu isiyo rasmi. Programu hii na maudhui yake hayakubaliki rasmi au yanayotokana na, wala kuhusishwa na au kushirikiana na wasanii wa muziki au vyombo vilivyounganishwa vya msanii, kama vile usimamizi au lebo ya rekodi. Marejeo yote na haki miliki ni mali ya wamiliki wao. Programu hii ina matangazo yanayolingana na Sera ya Google Play na Tafadhali support wasanii na makampuni husika. Asante.
Used Wasafi TV | Video & Music for Android?
Explore More
Sponsored
Adobe Stock
Trial version
Fax Machine Sound
Free
Synth Leads Caustic Sound Pack
Paid
Believer Ringtone and Alert
PaidMusica Catolica Excelente Gratis -Cantos Catolicos
FreeOrthodox Mezmur Amharic Mezmur
Free
Luis Fonsi - Despacito
FreeRingtones Top 100
FreeOld Telephone Ringtones
FreeAnimal Ringtones
Free
Bass Booster
Free
Fx Music Player
Free