Karibu katika app yetu HMG africa ujifunze mambo mbalimbali kuhusiana na historia.
App hii inakurahishia kupata Historia hususani ya bara la Africa, ni Application iliyosheheni mambo mazito ya kihistoria.
Kwenye App hii kuna vitu vifuatavyo:-
1. Push notification
2. Uwezo wa kuchat
3. Hufunguka kwa haraka
4. Na vingine vingi.
Shop your favorite products and we’ll find the best deal with a single click. Designed to make shopping easier.