X

Biblia Takatifu - Biblia Kiswahili (The Bible in Swahili) for iOS

By In Gold We Trust $1.99

Developer's Description

Programu-tumizi hii ya Biblia ina mistari,sura na vitabu vya Biblia. Tumehusisha vipengele vingi kuboresha kusoma kwako kwa Biblia.KutafutaUnaweza kutumia kisaidizi katika programu-tafiti hii kukusaidia kupata mistari ya Biblia inayohusu mada tofauti tofauti. Kwa urahisi, unaandika unalolitafuta na programu-tumizi hii itakupa mistari inayolingana na uliloandika.Shrikisha marafiki kupitia Facebook, Twitter na barua pepe.Unaweza kuwatumia watu mistari ya Biblia kupitia Facebook, Twitter ama barua pepe ( na pia kutoa maoni yako kama ungependa).Andika maombi na fikraWatumizi wetu wengi waliulizia kifaa ambacho wangeweza kuandika maombi, fikra ama ufunuo wanazopata wanaposoma Biblia. Sasa, kwa programu-tumizi hii, unaweza kuandika maombi na fikra zako, uzihifadhi na kuwatumia marafiki wako kwa Facebook, Twitter ama barua pepe.Weka alama bainishi kwa mistari ya BibliaUnaweza kuangazia mistari tofauti ya Biblia na rangi unayoipenda. Kwa urahisi, tumia kipanya chako kubonyeza ikoni ya penseli kwa sehemu ya juu ya skrini yako unaposoma Biblia na kuangazia kwa rangi mstari unaotaka.AlamishoAlamisho linakusaidia kuweka alama kwa mistari tofauti unayosoma. Ikoni hii iko sehemu ya juu ya skrini yako. Kwa kutumia kipanya chako, utabonyeza ikoni hii. Ukirudi kutumia programu-tumizi hii, utabonyeza ikoni hii tena na utarudishwa ulipoachia.Tafuta na ulinganishe mistari ya Biblia (katika programu-tumizi hii)Programu-tumizi hii ina kifaa-kisaidizi kinachogawanya skrini yako kwa sehemu mbili. Kwa hivyo, utaweza kuitazama mistari miwili ya Biblia zikiwa zimepakiana upande kwa upande.Kifaa cha kujifunzaUnaweza kutengeza waraka ya mstari au mistari ya Biblia. Hili utafanya kwa kudokeza kando ya mistari unayosema. Ukishamaliza kuandika waraka hii, unaweza kuituma kwa watu ukitumia barua pepe kupitia programu-tumizi hii.Toleo la King James la Kiingereza Soma toleo la King James la Biblia kwa lugha ya Kiingereza. Linganisha mistari kutoka Biblia la Kiswahili na ile ya Biblia hii ya Kiingereza.Wasiliana nasiTunakaribisha maoni yako. Tutakusikiza na kusahihisha programu-tumizi hii kulingana na maoni yako. Unaweza kutumia ujumbe kupitia kifaa cha Wasiliana Nasi katika programu-tumizi hii.

Full Specifications

What's new in version 2.1

New design and prayer features, daily inspirational verses - New kubuni na maombi makala, aya siku inspirational

General

Release June 12, 2016
Date Added June 8, 2014
Version 2.1

Operating Systems

Operating Systems iOS
Additional Requirements Compatible with: ipad2wifi, ipad2wifi, ipad23g, ipad23g, iphone4s, iphone4s, ipadthirdgen, ipadthirdgen, ipadthirdgen4g, ipadthirdgen4g, iphone5, iphone5, ipodtouchfifthgen, ipodtouchfifthgen, ipadfourthgen, ipadfourthgen, ipadfourthgen4g, ipadfourthgen4g, ipadmini, ipadmini, ipadmini4g, ipadmini4g

Popularity

Total Downloads 36
Downloads Last Week 0
Report Software

Related Apps

Blue Letter Bible logo

Blue Letter Bible

Free
Blue Letter Bible
Google Mobile App for iPhone logo

Google Mobile App for iPhone

Free
Google Mobile App for iPhone
Dictionary Offline Free logo

Dictionary Offline Free

Free
Dictionary Offline Free
Sky Guide: View Stars Night or Day logo

Sky Guide: View Stars Night or Day

$2.99
Sky Guide: View Stars Night or Day
Promo image for CNET Shopping

Get the best price on everything

Shop your favorite products and we’ll find the best deal with a single click. Designed to make shopping easier.